Podcasts ยท Neno la Leo

Unaweza Kuwa na Dini Lakini Ukakosa Uwepo wa Mungu!

ยท 15 min ยท S3 E13

Episode Unaweza Kuwa na Dini Lakini Ukakosa Uwepo wa Mungu!

0:00 15:28

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 4:21โ€“22 tunakutana na moja ya nyakati nzito katika historia ya Israeli. Taifa limeshindwa vitani, Sanduku la Agano limetekwa na mtoto anapewa jina Ikabodi, likiashiria kwamba utukufu umeondoka Israeli. Lakini tatizo halikuwa kupoteza Sanduku pekee. Israeli walikuwa wameanza kutegemea ishara ya uwepo wa Mungu badala ya Mungu mwenyewe. Walitaka ushindi wake bila kutengeneza uhusiano wao naye. Hata leo tunaweza kutaka Mungu atufungulie milango, atubariki na atatue matatizo yetu huku hatutaki atawale maisha yetu. Neno la leo linatuuliza: Je, tunamtaka Mungu mwenyewe au tunataka tu yale tunayoweza kupata kutoka kwake? Kwa sababu baraka kubwa kuliko zawadi yoyote ya Mungu ni kuwa na Mungu mwenyewe pamoja nasi.

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.