Podcasts Β· Neno la Leo

Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu!

Β· 19 min Β· S3 E12

Episode Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu!

0:00 19:07

πŸŽ™οΈ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 3:19 tunaona Samweli akiendelea kukua na kuingia katika kusudi lake kama nabii. Lakini Biblia inatuonyesha siri iliyokuwa nyuma ya safari yake: β€œBwana alikuwa pamoja na Samweli.” Mafanikio yake hayakuanzia katika kipawa, uwezo au nafasi yake bali katika uwepo wa Mungu uliokuwa pamoja naye. Hili linatufundisha kwamba tunaweza kuwa na mipango mizuri, elimu, fedha na watu sahihi lakini tusikose kile kilicho muhimu kuliko vyote: Mungu kuwa pamoja nasi. Swali letu lisibaki tu, β€œBwana, utabariki mipango yangu?” bali pia, β€œBwana, je, ninatembea pamoja nawe katika mipango hii?” Kwa sababu baraka kubwa kuliko kile Mungu anaweza kutupa ni uwepo wake katika safari yetu.

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. πŸ™πŸ“–βœ¨

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.