Podcasts ยท Neno la Leo

Baraka Hukaa Katika Uaminifu

ยท 22 min ยท S2 E9

Episode Baraka Hukaa Katika Uaminifu

0:00 21:47

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:22โ€“23. Baada ya Mungu kumfungulia Ruthu mlango wa kibali kupitia Boazi, hakutafuta sehemu nyingine bali aliendelea kubaki kwa uaminifu mahali ambapo Mungu alikuwa amemweka. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba mara nyingi Mungu hutimiza makusudi yake si kupitia mabadiliko ya mara kwa mara, bali kupitia uaminifu na uvumilivu wa wale wanaodumu katika njia aliyowaonyesha. Je, tuna subira ya kubaki waaminifu mahali ambapo Mungu ametuweka, au tunakimbilia kila fursa mpya inayoonekana kuvutia?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.