Podcasts ยท Neno la Leo

Utiifu wa Ruthu na Siri ya Pumziko

ยท 16 min ยท S2 E10

Episode Utiifu wa Ruthu na Siri ya Pumziko

0:00 15:31

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 3:1โ€“5. Naomi anamweleza Ruthu kwamba wakati umefika wa kutafuta pumziko, yaani maisha yenye usalama, ulinzi na mustakabali ambao Mungu alikuwa amemwandalia. Badala ya kutegemea hekima yake mwenyewe, Ruthu alichagua kutii kila alichoelekezwa na Naomi. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba pumziko la kweli halitokani na juhudi zetu pekee, bali linapatikana tunapomwamini Mungu na kutembea katika utii wa mapenzi yake. Je, tunatafuta pumziko kwa njia zetu wenyewe, au tuko tayari kumtii Mungu hata pale ambapo hatuelewi kila hatua anayotuongoza?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.