Podcasts ยท Neno la Leo

Mungu Anaweza Kufanya Zaidi ya Unavyoomba

ยท 14 min ยท S2 E8

Episode Mungu Anaweza Kufanya Zaidi ya Unavyoomba

0:00 13:52

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:15โ€“16. Ruthu alienda shambani akitarajia kuokota mabaki ya nafaka, lakini Mungu alikuwa ameandaa zaidi ya alivyowaza. Kupitia Boazi, aliagizwa kuachiwa masuke makusudi ili kazi yake iwe nyepesi na mavuno yake yaongezeke. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu haishii kutujibu maombi yetu, bali mara nyingi hututangulia kwa neema yake, huwagusa watu, hufungua milango na kuondoa vikwazo ambavyo hatuvioni. Je, unatambua kwamba nyuma ya kila kibali na kila baraka katika maisha yako kuna mkono wa Mungu unaokutangulia?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.