Podcasts ยท Neno la Leo

Mungu Bado Anaandika Sura za Hadithi ya Maisha Yako

ยท 8:42 ยท S3 E8

Episode Mungu Bado Anaandika Sura za Hadithi ya Maisha Yako

0:00 8:42

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:6โ€“8. Hana anaposema kwamba Bwana hushusha na kuinua, hufukarisha na kutajirisha, hazungumzi kuhusu Mungu ambaye amesikia habari zake tu. Anazungumza kuhusu Mungu ambaye amemwona akibadilisha maisha yake mwenyewe. Mwanamke aliyekuwa akilia kila mwaka huko Shilo sasa amekuwa ushuhuda kwamba hali ya leo si lazima iwe mwisho wa hadithi yetu. Kupitia simulizi yake tunajifunza kutohukumu kesho yetu kwa changamoto tunazoziona leo kwa sababu Mungu bado anaweza kuinua, kurejesha na kufungua sura mpya ambayo hatukuiona ikija. Je, kuna eneo la maisha yako ambalo umeshaamua haliwezi kubadilika? Usiweke nukta mahali ambapo Mungu bado anaandika.

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.