Mungu Hupima Moyo Wako na Sio Mafanikio Yako!
ยท 9:42 ยท S3 E7
Episode Mungu Hupima Moyo Wako na Sio Mafanikio Yako!
๐๏ธ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:3. Baada ya Mungu kubadilisha maisha yake, Hana angeweza kutumia ushindi wake kuwajibu wale waliokuwa wamemdharau. Badala yake, anatukumbusha kwamba tusiseme kwa majivuno kwa sababu Mungu anajua yote na ndiye anayepima matendo ya mwanadamu. Kupitia maisha yake tunajifunza kutowadharau wengine kwa sababu ya hali wanayopitia leo wala kujiona bora tunapofanikiwa. Maisha hubadilika lakini Mungu ndiye anayejua mwanzo na mwisho wa kila mtu. Je, baraka na mafanikio yanapotufikia yanatufanya tuwe na kiburi au yanatufundisha kuwa wanyenyekevu zaidi mbele za Mungu na watu?
Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐๐โจ
Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.