Podcasts ยท Neno la Leo

Ni Mungu Pekee!

ยท 10 min ยท S3 E1

Episode Ni Mungu Pekee!

0:00 10:23

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaanza simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:1โ€“8. Hana alikuwa akipendwa sana na Elkana, lakini bado moyo wake ulikuwa umebeba maumivu ambayo hakuna mwanadamu angeweza kuyaponya. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kuna mahitaji ya ndani ambayo hayawezi kutimizwa na upendo wa watu, mafanikio au mali, bali na Mungu pekee. Je, tunampelekea Mungu kilio cha mioyo yetu, au tunatafuta utimilifu katika vitu ambavyo haviwezi kujaza pengo la nafsi yetu?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.