Podcasts · Neno la Leo

Inakuwaje Tunapohisi Mungu Ametusahau Kabisa?

· 19 min · S2 E14

Episode Inakuwaje Tunapohisi Mungu Ametusahau Kabisa?

0:00 18:34

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:14. Wanawake wa Bethlehemu wanamsifu Mungu kwa sababu hakumwacha Naomi bila mkombozi. Yule aliyewahi kufikiri kwamba Mungu amemwacha sasa anaona kwa macho yake jinsi Bwana alivyokuwa akitimiza ahadi zake hatua kwa hatua. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba ukimya wa Mungu si ishara ya kutusahau. Kwa wakati wake mkamilifu, hubadilisha majonzi kuwa ushuhuda na kufanya hata walioshuhudia machozi yetu waje kushuhudia uaminifu wake. Je, kuna eneo la maisha yako ambalo unahisi Mungu amekusahau? Simulizi la Naomi linatukumbusha kwamba Mungu hakusahau ahadi yake, na hata leo bado anatenda kwa wale wanaomtumaini.

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

The episode on the publisher’s site (opens in a new tab)

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.