Episodes page 1 of 2
-
SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO
Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our…
-
UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO
Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini…
-
Tunatembea na Hofu ya PESA
Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata…
-
You Can Only Dream to the Level of Your Exposure
Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine…
-
You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL
Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond…
-
Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY
Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari…
-
Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE
Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni…
-
Mpishi wa pilau
Send us Fan Mail
-
Bongo Mkononi
Send us Fan Mail Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..
-
Tatizo ni kwenye kugawana %
Send us Fan Mail Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za…
-
Baraka za Baraka
Send us Fan Mail
-
People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain
Send us Fan Mail Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses…
-
Sina Kazi Naishi Ninavyotaka
Send us Fan Mail Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau,…
-
Kuna Maisha kwenye Siasa
Send us Fan Mail Msasa wa leo umeingia na boti la mapema, so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.
-
The Entrepreneur’s Guide to Employment
Send us Fan Mail In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one…
-
Jinsi Ya Kuongea Na Mungu
Send us Fan Mail This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it? And wait, I’m not alone in facing the…
-
Conversations to conversions
Send us Fan Mail Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales. If you’ve been running on that old playbook of tricks and fast talk — delete it. This is about…
-
Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio
Send us Fan Mail Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka. Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote.…
-
Living with demons : A battle for control and healing
Send us Fan Mail Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1. #MsasaPodcast #WalterSimalike #Overindulgence #AddictionAndRecovery…
-
Shughuli ni Watu
Send us Fan Mail Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.
-
Trust the process
Send us Fan Mail There is clarity in chaos when you trust the process💪🏾 🎧 Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this…
-
Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume
Send us Fan Mail This week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of @menthepodcast We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for…
-
Watu wa Kariakoo waliniokoa
Send us Fan Mail Tafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭 Guest: LAMATA https://www.instagram.com/lamataleah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on…
-
From passion to profit
Send us Fan Mail What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too? #Today we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the…
-
From Child to Breadwinner
Send us Fan Mail Today, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth…
-
Baharia Mwenye SWAG
Send us Fan Mail J2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespoke AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that suits him. 🎧 Guest:…
-
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
Send us Fan Mail Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap.…
-
Furaha yako ni Jukumu Lako
Send us Fan Mail Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua…
-
The Silent Loud One
Send us Fan Mail Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is? Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na…
-
Leave Room For Magic
Send us Fan Mail Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia? Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_art the band on #msasapodcast on this very #specialepisode. Dont forget to listen…
-
The Godfather of Comedy
Send us Fan Mail Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise. Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences…
-
Oxygen is Free
Send us Fan Mail The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na…
-
Maisha na Sauti Ya Guitar
Send us Fan Mail Kama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industry Leo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania's beloved Afro…
-
Buckle up! Life is not free
Send us Fan Mail Refuse to let life happen to you - make it happen! Join us for a raw chat with Daniella Kwayu, a serial entrepreneur, economist, agriculture enthusiast and a founder of Pherma Agri and get ready to…
-
Bobby West Goes to Town
Send us Fan Mail When the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotumia ku cope na…
-
Mwanajeshi na Nyota
Send us Fan Mail Ukiona vyaelea ujue vimeundwa - Unamjua aliyeiunda EvoNem health App? Basi leo ndo yuko #msasani akitupa the ups and downs of building a #business in today’s world. From resilience in the face of…
-
The Curious Case of Arthur Kyara
Send us Fan Mail kwenye game ya biashara, lazima ujue ni nini kinapiga kazi na nini hakiendi, otherwise utakuwa unapoteza muda na pesa. Na pia kwa vyote unavyofanya Mungu ndo caption number moja. Leo tumemkaribisha…
-
Saturn's Return
Send us Fan Mail Ulipotoka unakuja unakokwenda haukutambui - everything that happens happens for a reason/ there’s a reason behind every twist and turn in life Join us for an enlightening and laughter-filled episode…
-
Ukitaka kusikilizwa, sikiliza kwanza
Send us Fan Mail Determination: the stubborn refusal to let life’s #challenges turn you into a soggy sponge On this episode, we dive into the world of resilience and #determination with Edwin Musiba, the Founder & CEO…
-
Usionyeshe Tatizo, Onyesha Suluhu
Send us Fan Mail Care is the name of the game....join us as we talk what it takes to go above and beyond. Tune in kwenye #MsasaPodcast with Jacqueline Lawrence entrepreneur and director of @mbeyahighlandsfm , as we…
-
Kujiajiri sio kutoka
Send us Fan Mail With freedom comes great responsibility. Jiunge nasi kwenye #msasapodcast na Tech Guru & Entrepreneur Ng’winula Kingamkono as we talk what it takes to succeed in business. Usikose Msasa Leo na…
-
Pleasure, Passion & Pain na Baba Ushauri
Send us Fan Mail Lessons in Life are numerous ila mwisho wa siku #maamuzi ya kutisha nayo ni ya kwako. #Jikubali #YouAreEnough Karibu Kwenye #MsasaPodcast with Legendary Media & Marketing Guru & former East Africa…
-
Mungu akitaka kukutumia hakuandikii barua
Send us Fan Mail Kila mtu ana nafasi yake .Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana. Jiunge nasi leo tuki pata Msasa kwa Gwamaka Mwakalinga talking about his call…
-
Hatua ya kwanza ya kutoboa ni kufeli
Send us Fan Mail Waswahili wanasema ukimpiga teke chura, unamuongezea mwendo. 🔥 Kwenye episode hii tunapata madini raw kabisa from Fredrick Bundala AKA Sky, living proof of the fruits of perseverance. Guest: Sky…
-
'Angalia dunia kupitia lense ya uhalisia' na Kennedy Mmari , Founder of Serengeti Bytes
Send us Fan Mail Kutofautisha ukweli na uhalisia ni kitu muhimu kwenye utafutaji, chamsingi ni utayari kuelewa karata yako umeitupia wapi. Jiunge nasi kwenye #Msasapodcast na Kennedy Mmari CEO of Serengetibytes…
-
'Unahitaji kufanya kazi,Kupata Kazi' with Lillian Madeje, Founder of Niajiri Platform
Send us Fan Mail Waswahili wanasemaga, ujanja kuwahi na mwenye nacho hongezewa. Je, umejiongeza mpaka wapi nawe uongezewe? Join us on this episode of #MsasaPodcast with Lillian Madeje, Entrepreneur & Founder of the…
-
Kamati Ya Kichwa with Clay, the CEO of ChekaPlus TV & Co-founder of ChekaTu.
Send us Fan Mail We una watu wangapi kwenye Kamati yako? Exploring the Good, the Bad and the Funny, with Clay Kennedy Masiga, akitoa madini jinsi anavyo disconnect ili kuja na mizinga ya ideas, the reality of events,…
-
Clarity is my Superpower with Cynthia, CEO of The Ruge Mutahaba Foundation.
Send us Fan Mail Life is a mix of choices—some good, some bad, but all very necessary for "Character development"😉 . If you use #Clarity as your compass; it decides whether you sink or swim. Watch "CLARITY IS MY SUPER…
-
'When You Fail You Wake Up' with Amin Swai ,CEO of Blanq Marketing & Communications.
Send us Fan Mail The path to winning is a non-linear series of events. Watch as we unpack the true nature of success with Amin Swai , CEO of Blanq Marketing & Communications
-
'Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa' with artist & Hip hop legend Fid Q
Send us Fan Mail Nini tofauti kati ya utajiri na kufanikiwa? Usikose #Msasa huu wa @therealfidq this #sunday on the #msasapodcast
More in Business
REAL AF with Andy Frisella
Andy Frisella
The Learning Leader Show With Ryan Hawk
Ryan Hawk
Unblinded with Sean Callagy
Sean Callagy
Young and Profiting (YAP) with Hala Taha: Entrepreneurship and Self-Improvement Podcast
Hala Taha | Entrepreneurship, Sales, Marketing | YAP Media Network
Habits and Hustle
Jen Cohen
Coffeez with Joe Shalaby
Joseph Shalaby
Proven Podcast
Charles Schwartz
The Level Up Podcast w/ Paul Alex
Paul Alex Espinoza
The Code To Winning
Kagiso Dikane
We Fixed It, You're Welcome
We Fixed It, You're Welcome
Finding Peak with Ryan Hanley
Ryan Hanley
Bred To Lead
Dr. Jake Tayler Jacobs
Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them. Explicit shows are for adult profiles only, and children’s profiles hear only children’s shows. More about this list.