# Ni Mungu Pekee!

An episode of [Neno la Leo](https://invisiblenetwork.ai/podcast/1896944111), 1 Aug 2026, 10 min.

Audio: https://content.rss.com/episodes/392262/3038324/neno-la-leo/2026_07_31_21_41_16_2d4e408c-df98-4c6f-9843-808ff4b2823d.mp3

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaanza simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:1–8. Hana alikuwa akipendwa sana na Elkana, lakini bado moyo wake ulikuwa umebeba maumivu ambayo hakuna mwanadamu angeweza kuyaponya. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kuna mahitaji ya ndani ambayo hayawezi kutimizwa na upendo wa watu, mafanikio au mali, bali na Mungu pekee. Je, tunampelekea Mungu kilio cha mioyo yetu, au tunatafuta utimilifu katika vitu ambavyo haviwezi kujaza pengo la nafsi yetu? Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them.
