# Vipi Kama Utapoteza Kila Ulichonacho?

An episode of [Neno la Leo](https://invisiblenetwork.ai/podcast/1896944111), 30 Jul 2026, 22 min.

Audio: https://content.rss.com/episodes/392262/3028671/neno-la-leo/2026_07_28_17_15_34_78248de8-cd8a-422b-b517-e705d65dac40.mp3

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:15. Wanawake wa Bethlehemu wanamwambia Naomi kwamba Mungu amemletea mtoto ambaye atamrejeshea uhai na kumtunza katika uzee wake. Kupitia Ruthu, Mungu hakurejesha tu kile ambacho Naomi alikuwa amepoteza, bali alimpa tumaini jipya, furaha mpya na sababu mpya ya kuishi. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba urejesho wa Mungu hauishii kurudisha tulichopoteza, bali mara nyingi hutuzawadia zaidi ya tulivyowahi kufikiria. Je, kuna eneo la maisha yako linalohitaji mguso wa Mungu wa urejesho? Mungu aliyebadilisha maisha ya Naomi bado anatenda hata leo. Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them.
