# Usiishie Kupokea Baraka, Mjue Mtoa Baraka!

An episode of [Neno la Leo](https://invisiblenetwork.ai/podcast/1896944111), 6 Aug 2026, 10 min.

Audio: https://content.rss.com/episodes/392262/3049819/neno-la-leo/2026_08_05_20_43_58_83561790-dc9e-411f-a289-ddd3ca00b4ed.mp3

Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaanza wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:1–2. Baada ya kusubiri kwa uvumilivu, kupokea muujiza na kumrudishia Mungu Samweli, Hana anafanya jambo kubwa zaidi: anamwabudu Mungu. Cha kushangaza ni kwamba wimbo wake hauzungumzi sana kuhusu mtoto aliyempata bali kuhusu ukuu, utakatifu na uaminifu wa Mungu. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba lengo la mwisho la baraka si kutufurahisha tu bali kutuongoza katika kumjua Mungu zaidi. Je, tunafurahia zaidi zawadi tulizopewa au tunamkaribia zaidi Yeye aliyetoa zawadi hizo? Kwa sababu baraka zinaweza kupita, lakini Mungu hubaki kuwa Mwamba wa maisha yetu milele. Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them.
