# Wakati wa Mungu!

An episode of [Neno la Leo](https://invisiblenetwork.ai/podcast/1896944111), 4 Aug 2026, 17 min.

Audio: https://content.rss.com/episodes/392262/3044217/neno-la-leo/2026_08_03_20_18_44_fb885140-2434-4c7f-aec6-2660d5ad6f29.mp3

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaendelea na simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:20. Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, machozi na maombi, wakati wa Mungu ulifika. Hana akapata mtoto wa kiume aliyemwita Samweli, akisema, “Kwa sababu nilimwomba kwa Bwana.” Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu hachelewi wala hasahau ahadi zake. Anapokuwa kimya, mara nyingi huwa anaandaa jambo kubwa zaidi kuliko tunavyoweza kuona. Je, bado unaendelea kumtumaini Mungu hata kama jibu la maombi yako linaonekana kuchelewa? Kumbuka kwamba Mungu aliyemkumbuka Hana ndiye Mungu anayefanya kazi katika maisha yetu hata leo. Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them.
