# Baraka Hukaa Katika Uaminifu

An episode of [Neno la Leo](https://invisiblenetwork.ai/podcast/1896944111), 24 Jul 2026, 22 min.

Audio: https://content.rss.com/episodes/392262/3017107/neno-la-leo/2026_07_23_21_10_02_e2c8e435-f57a-4ae0-81d8-fc25a820d220.mp3

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:22–23. Baada ya Mungu kumfungulia Ruthu mlango wa kibali kupitia Boazi, hakutafuta sehemu nyingine bali aliendelea kubaki kwa uaminifu mahali ambapo Mungu alikuwa amemweka. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba mara nyingi Mungu hutimiza makusudi yake si kupitia mabadiliko ya mara kwa mara, bali kupitia uaminifu na uvumilivu wa wale wanaodumu katika njia aliyowaonyesha. Je, tuna subira ya kubaki waaminifu mahali ambapo Mungu ametuweka, au tunakimbilia kila fursa mpya inayoonekana kuvutia? Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them.
