# Mungu Hasahau Ahadi Zake!

An episode of [Neno la Leo](https://invisiblenetwork.ai/podcast/1896944111), 28 Jul 2026, 17 min.

Audio: https://content.rss.com/episodes/392262/3027120/neno-la-leo/2026_07_28_09_22_50_518e2a80-4230-463d-91f3-87e647be7bf5.mp3

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaelekea katika kilele cha simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:13. Baada ya safari ndefu ya maumivu, kusubiri na uaminifu, Mungu anatimiza ahadi zake kwa kumjalia Ruthu ndoa, familia na mtoto wa kiume. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu hachelewi wala hawahi. Anapotimiza makusudi yake, hufanya zaidi ya yale tuliyokuwa tunatarajia na hubadilisha kipindi cha machozi kuwa ushuhuda wa neema yake. Je, bado unaendelea kumtumaini Mungu hata kama baadhi ya maombi yako yanaonekana kuchelewa kujibiwa? Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Shows are listed from Apple Podcasts' charts and directory, and Podcast Index where it is used. Every show and episode belongs to its publisher and plays from the publisher's own feed; this site hosts none of them.
